Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Huu ni mkataba wa Fei na Yanga.
Kipengele namba 14 cha mkataba huu kinahusu EXPIRY, SUSPENSION AND TERMINATION IF THE CONTRACT yaani kuisha, kusitishwa au kuvunjwa kwa mkataba.
Kipengele hiki kina sehemu 8
Sehemu ya 7 ndiyo inazungumzia mchezaji kuvunja mkataba...kinasema
The player has the right to terminate the contract extraordinarily provided that the player shall refund the signing fee paid by the club pursuant to clause 2.3 of the contract and pay at least three (3) months salary for early termination.
Maana yake
*mchezaji ana haki ya kuvunja mkataba kwa njia ya zaidi ya kawaida ilimradi tu mchezaji arudishe pesa ya kusaini mkataba aliyopewa na klabu kama inavyotajwa kwenye kipengele cha 2.3 cha mkataba and alipe mshahara angalau wa miezi mitatu (3).
Sasa kipengele cha 2.3 kinachotajwa hapo kinazungumzia pesa aliyolipwa kwa ajili ya kusaini.
Kinasema
The signing fee of Tanzania shillings One Hundred Million (Tshs 100,000,000/=) will be paid by the club for the said duration.
Yaani
Ada ya kusaini mkataba ya shilingi za kitanzania milioni mia moja (Tshs 1000,000,000/=) kitalipwa na klabu kwa muda uliotajwa.