Huu hapa mkataba wa Feisal

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Huu ni mkataba wa Fei na Yanga.

Kipengele namba 14 cha mkataba huu kinahusu EXPIRY, SUSPENSION AND TERMINATION IF THE CONTRACT yaani kuisha, kusitishwa au kuvunjwa kwa mkataba.

Kipengele hiki kina sehemu 8

Sehemu ya 7 ndiyo inazungumzia mchezaji kuvunja mkataba...kinasema

The player has the right to terminate the contract extraordinarily provided that the player shall refund the signing fee paid by the club pursuant to clause 2.3 of the contract and pay at least three (3) months salary for early termination.

Maana yake

*mchezaji ana haki ya kuvunja mkataba kwa njia ya zaidi ya kawaida ilimradi tu mchezaji arudishe pesa ya kusaini mkataba aliyopewa na klabu kama inavyotajwa kwenye kipengele cha 2.3 cha mkataba and alipe mshahara angalau wa miezi mitatu (3).

Sasa kipengele cha 2.3 kinachotajwa hapo kinazungumzia pesa aliyolipwa kwa ajili ya kusaini.

Kinasema

The signing fee of Tanzania shillings One Hundred Million (Tshs 100,000,000/=) will be paid by the club for the said duration.

Yaani

Ada ya kusaini mkataba ya shilingi za kitanzania milioni mia moja (Tshs 1000,000,000/=) kitalipwa na klabu kwa muda uliotajwa.
 
Hapa utopolo kashaliwa kichwa mapema
 
Kashaenda huyo....Uto...kubalini tu
 
Binafsi sio sababu za yanga kuendelea kuvutana na mchezaji ambaye anataka kuondoka!!, Iwe mkataba ndivyo ulivyo au lah. Yanga ina kikosi bora hata nje ya kuwa na Fei, tunaheshimu mchango wake katika tim lakini ni dhambi kubwa kutaka Kuonesha kuwa yanga haiwez pata matokeo nje yake.

Azizi key ni very talented play kuliko fei...
Sure boy ana vitu vingi Sana kuliko fei,changamoto kubwa ya hawa niliyowataja nikutokua na bahati ya kuamua matokeo ya mechi Kama aliyonayo Fei. Aachwe aende maana yanga walishindwa kumpa alichokitaka hata kabla ya kuchukua uamzi huu.
Mpira no biashara kwa wachezaji na timu, km ilivyo GSM anavyouza jezi au magodoro.
 
Umefafanua vizuri hapo kwamba mchezaj anaweza vunja mkataba kwa njia Zaid ya kawaida.. naomba utufafanulie hiyo njia zaid ya kawaida alotumia feitoto
 
Ujue JF nadhan tunatatizo la ushabiki sana..
Hayo yote yameshajadiliwa kwenye vyombo vya Habar toka jana.. unaposema unavunja mkataba kwasabab zisizo za kawaida lazima uzitaje sio tuu unavunja mkataba kwa kusema ninasababu zisizo za kawaida bila kuainisha
 
Y
Yanga mmepata mfadhaiko sana
 
Kashaenda huyo....Uto...kubalini tu
Hatukubali!!

FEISAL Kaingia mtumbwi wa vibwengo!!
Huko Azam sio kabisa hakuna washabiki aliozoea kucheza nao na hakuna muunganiko wa wachezaji, kila mchezaji anacheza anavyojua ushindi wa ndondokela!! Dogo ataflop!

Solution

Kinachotakiwa Feitoto awarubuni Azam wampe ofa kwa maandishi kisha aipeleke hiyo ofa Yanga kwa Eng Hersi akapewe hiyo ofa mara kumi yake Yanga hela ipo. Yanga tumemkuza dogo Fei hawezi kutimka kihuni!
 
Hongera, umemaliza ubishi
 
Umesoma mkataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…