Huu hapa mkataba wa Feisal

Umesoma mkataba?
Nimesoma. Mkataba haueleweki, hautaji hayo mazingira ya mchezaji kuvunja mkataba, hakuna specific reasons au situation iliyotajwa ambayo mchezaji anaweza kutumia kujustify kuvunja mkataba hivyo hapo kuna loophole ya Yanga kukataa mazingira au maelezo yoyote atakayotumia Feisal kuvunja mkataba.

Uhuni utafanyika kumzuia Feisal kudandia mtumbwi wa vibwengo na kusafiri hadi Chamazi kwa mkataba wake kushindwa kuipasua hii vocabulary "extraordinary" . Mf wa specific reason ingekuwa hivi , mkataba ungesema "mchezaji asipocheza mechi 6 ana haki ya kuomba kuvunja mkataba!"

Ukinielewa kunywa soda ujilipie xmass njema
 
Sheria ilivyo kipengele iko kinasema hivyo,utakuta mbele huko kuna kipengele kingine kinachobana kipengele iko iko,kama biblia tu ukifungua hapa nguruwe halali biblia hiyo ukifungua kwingine inamkataa,vijana someni sheria
 
Dah! Unaandika huku machozi ,mate na makamasi yanakutoka hovyo.

We Feitoto utaua watu huko utopoloni . Rudi tu watakuroga akina mzee Mpili .

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Huu mkataba uliosainiwa 2020 wa miaka miwili ndo unakwenda mpaka 2024? Sasa amevunja nini wakati mkataba ulishaisha? Mnatudanganya kwa maslahi yenu wakati tunajua kusoma?
 
Hongera, umemaliza ubishi
Amemaliza ubishi kwa kuleta mkataba wa 2020-2022? Huu unasema unauvunja wa 2018 alioanzia. Feisal tangu aingie Yanga ameshasaini mikataba 3 mbona mnaleta wa pili ambao ulishaisha mnaficha wa 3?
 
...Kuomba kuvunja mkataba" lipigiwe mstari. Huwezi kuvunja mkataba kwa taarifa kama Chama cha siasa kinavyoijulisha polisi kufanya mkutano wa ndani.
 
Hivi kama hataki anang'ang'aniwa wa nini? Si wamuache aende!!!!
Tunataka timu inufaike na uondokaji wake. Azam wafate kanuni za Fifa za kumhamisha mchezaji kutoka kwenye club inayommiliki.

Hizi shortcut zao ili Yanga isipate chochote hazikubaliki
 
Feisal haendi Chamazi... Wala haendi Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…