Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

Je majini wanaweza kuondolewa mwilini mwa mtu kwa njia gani?

Je uchawi ni wamajini tu au Kuna wa aina nyingine?
 
Uchawi wa majini Kwa hiyo lazima atumike mganga?

Kwa hiyo mchawi bila Mganga hawezi kamilisha kumroga mtu au ?
 
Yesu alisema hivi, jini hampingi jini mwenzake ufalme wao utakuaje?.

Kipindi nipo o-level nishuhudia kitu ambacho sijawai ku experience before. Kipindi hicho niko form 4, watoto wa form 1 ndio wameingia. Baadhi ya watoto wakawa wakaid kwenye kutumwa ikabd nikatoe taarifa kwa mkuu wa dom yaan katibu.


Jamaa akaja akapiga vibao watoto wote kumbe kuna mmoja ana jini upande wa kushoto ; dogo alilia ad mida ya usiku bila kunyamaza. Gafla mbwa wa nje wakawa wanambweka sana, dogo akasikika akisema nimekuja , nimfanye nn mtu aliyenipiga kibao. Niliona kama dogo anaigiza bongo movie, jamaa mmoja anaitwa saidi akamwambia msamee sheikh. Dogo akatulia. Niko juu ya deka najisemea moyoni kuhusu demu ambaye kwa wakati ule nilikuwa nampenda ila yeye simsom kama ananipenda , nipo kwenye kujiuliza dogo akaniita jina langu la ukoo nilistaajabu sana dogo kajuaje jina la ukoo. Dogo aliniita kama mtu mwenye mamlaka ad nikafyata mkia nikashuka nakwenda kuonana nae face to face. Dogo akanishika mkono na macho yake alikuwa kama mwali wa moto na kuanza kuniambia mambo yote ya liziko niliyofanya na akaniambie yule mwanamke akupend.


Kwa ufupi tu maana ni stori ndefu sana, alipohamka asubuhi akanifuata na kuniambia nisingeweza kukurudhi kwakuwa ujanifanya kitu kibaya. Na yule alinipiga kibao nilimsahamee kwasababu saidi ana jini kubwa kuliko langu.


Kutoka na maelezo ya dogo na ukifanya comaparison ya maneno ya Yesu unaona yanashabiana.

Wanachokifanya waganga sio kutoa jini bali kuongeza jini kwa mtu mwenye jini. Kama jini la mganga ni kubwa na la yule mteja wake dogo basi lile kubwa linaungana na dogo na kubwa linamchimba biti dogo litulile lakini jini alitoki. According to bible hakuna majini mazuri (Yohana 10;10a).


Final words, majini hayapingani kwasababu kazi yao ni moja tu kuharibu na kuua. Nothing else...
 
wewe unajuaji mwingi sana wa hapa na pale
 
Hao watoto wazazi wao waliwakabidhi majini wawalinde watoto wao
 
Haya
 
chanzo cha kuamini cha habari hii ni kipi?
 
Salendar bridge kule baharini πŸ˜„wana lango lao na Kurasini πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…