Huu hapa umri sahihi wa Shilole

Nakumbuka nikiwa nasoma kidato cha kwanza pale Igunga day (2001) Makala na Mkewe Shilole walikuwa wapangaji wetu. Mie nikiwa mtoto mdogo na Shilole akiwa pale kwetu nilikuwa namuona si rika langu kabsa.
Sasa miaka 36 na 31 sio rika moja kivipi?
 
Maelezo mareeefu kisa tu umri wa mtu sasa akiwa mbibi au kikongwe mimi na wewe vinatuhusu nini?? mumewe si anaujua umri wa mkewe shida iko wapi.

Don forget Age is just a number. lol.
 
Hapana,huyu binti unasemekana alipewa mimba akiwa kidato cha pili Igunga sec,au hakusoma hapo Igunga Sec?
 
Mi nimemla sana huyo hadi akaniganda!ni kiajuza flani hivi maana mapaja yashakuwa lepelepe
 
Yaani mdau kutaja tu umri wa Shilole unamfukunyua kiasi hicho?!. ..........kapanga kwetu.......... kauza ndizi stendi........... mume wake........
Ni nini kimekuuma sana kwenye umri sahihi wa Shilole?
Nikufahamishe kitu. Dunia nzima inajua kwamba mwanamke akikutajia umri wake hutakiwi kumbishia, unaukubali huo umri na kukaa kimyaa.
Umri aliokutajia Shilole ndio umri wake.Fukunyua fukunyua ya nini?Kaa kimya!
 
Maelezo mareeefu kisa tu umri wa mtu sasa akiwa mbibi au kikongwe mimi na wewe vinatuhusu nini?? mumewe si anaujua umri wa mkewe shida iko wapi.

Don forget Age is just a number. lol.
Kwa nn sasa usiseme ukweli we sema tu kwamba mimi nina miaka kadhaa. Vp we dada angu shilole!?
 
Sio wote sema wewe!
 
Mkuu bwana Polepole na ndg Baharia kama waliwahi kupanga kwenu naomba utuletee umri wao elekezi,maana sintofaham zimekuwa nyingine.
Polepole nimesoma nae na ni age mate wangu ana 38
 
SASA HUO NI USHILAWADU,
watu wa DAR bana huwa hamnaga KAZI za kufanya
 
Sasa wewe bora uandike jina lako kabisa maana huo utangulizi uloweka ni rahisi sana Shishi akipita hapa akutambue vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…