kingunge wa jf
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 464
- 447
- Thread starter
-
- #61
Naona suala la umri kwenu ni tatizo hasa nyie kina mama wa makamo ambao hamjaolewa... lolWewe nawe mnafiki sasa.
Umri wake ulikuwa unakunyima usingizi???
Kila siku tukiwa na mume wangu tunamshukuru Mungu kwa kutupa umri, pumzi, afya na kipato,Mshukuru Mungu kwa kukufikisha umri huo dada Shilole...
Hahahaaaa haya mkuuNimependa sana uandishi wako. Flow nzuri kabisa na inaeleweka, kweli Shilole umri umekwenda. Ushauri, tunamuomba aache kujichetua. Hatutaki tena kuona matiti yake, amwonyeshe Uchebe tu.
Pili, ninamsihi Bw. Nuhu Mziwanda, aachane na ndoa ya wenzake, najua anaumia akifikiria usanifu wa kuchezea mfinyanzi enzi zile, ibaki story tu kwake.
Nuhu amenisikitisha eti kwa kujibu mapigo kwa kuopoa demu mwenye chura kubwa kuliko Shishi Baby. Aache kumuharibu huyo bint kutokana na ujuzi mbaya alioupata kwa mpenzi wake wa zamani.
Nuhu kubali tu, mbona ulipokuwa fundi udongo Timbulo alikaa kimya? Hakukupigia kelele kwa sababu Timbulo yeye ni fundi bomba, ujenzi hawezi na alikimbia kushindwa kuchezea udongo.
Tuvumiliane tu.
Umekuja kufanyaje humu kama unamiradi nenda kwenye miradi yako. Mie nilikuwa nataka tu nieleze umri wako dada Shilole, kama ambavyo wewe unaweza kumuelezea mtu mwingine.Kila siku tukiwa na mume wangu tunamshukuru Mungu kwa kutupa umri, pumzi, afya na kipato,
lakini hatuachi kuwaombea watu kama nyie muondokane katika lindi la umasikini ili angalau siku moja uzungumzie miradi yako na kuwahamasisha vijana kuliko kuchukua muda mwingi kumzungumzia mtu asiyekupa hata buku ya kubet.... lol
Itakua ulikua mama ake wa kambo sasa kwa bahati mbaya ukachungulia kadi lake la kuzaliwa hehehe,Umekuja kufanyaje humu kama unamiradi nenda kwenye miradi yako. Mie nilikuwa nataka tu nieleze umri wako dada Shilole, kama ambavyo wewe unaweza kumuelezea mtu mwingine.
Yule mtoto wa miaka 50+ kumbe kasoma na mzee wa piga tu.Le Mutuz ni class mate wa Mizengo Pinda.
unachoongea kina ukweli ndani yake coz dada yake naye alihojiwa na shilawadu juzi akasema shilole amezaliwa 86 so hapo utata ila ukimuangalia anaonekana muhenga hata kuongea sema mi penda mipaja yakeHahahaaa kawaida tu mkuu. Karibu Igunga!