Huu hapa undani wa aliyetolewa Mzobemzobe Mahakamani

Huu hapa undani wa aliyetolewa Mzobemzobe Mahakamani

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Tukio lisilo la kawaida, limetokea leo katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo mwanaume mmoja alionekana akitolewa mzobemzobe na askari wa Jeshi la Magereza, kwa madai ya kupiga kelele ndani ya mahakama.
 
Kwenye hii nchi rule of law ni phrase ya kufikirika. Katika hali ya kawaida, kwenye nchi ya kawaida, askari magereza hana jukumu la kushughulika na mtu ambaye hajawekwa gerezani kwa amri ya mahakama!
 
Siku hizi kila mtu ni nabii,kila mtu anaoteshwa,kila mtu anaona mambo kwa jicho la tatu,kila mtu ni mtabiri,

Mabadiliko yeyote au maendeleo yeyote hayaletwi kwa haya mambo yakufikirika,naona tunazidi kurudi nyuma badala ya kwenda mbele,

Zama za haya mambo zilishapita,Dunia ipo kwenye uhalisia zaidi,kuliko kila mtu kujifanya ana miujiza.
 
mbona hili tukio ni jana, inakuwaje mleta mada useme la leo wakati limetokea jana lakini huyo faza aliachiwa baadae ile ile jana
 
Back
Top Bottom