[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kumbe umeolewa nilijua ni FIX.
[emoji141][emoji141][emoji141] Sipati Picha na ufupi wako ulikuwaje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaah toka hapa[emoji141][emoji141][emoji141] Sipati Picha na ufupi wako ulikuwaje.
Mi naondokaa[emoji3][emoji3][emoji3] Uzi wa watu tumeugeuza kama wetu, tutarushiwa vipande.
huu uzi ni wakishoga nini,,,?
ndukiiii
Ukimkuta kwenye Lodester " coban yildiz" kama sio yeye...mkatili huyooCheeeeeeefuuuuuu,eheee nini shida jina la sumbula limewakaa midomoni kama mnanidai vile ,,,haya nyie tokeni hapa kazi umbea tu
Talent za Bongo hasa wanawake huenda sambamba na msambwandaAisee mbona washiriki wengi wa tamthilia hii wana degree!?,hivi bongo tutafika huku kweli[emoji54][emoji54]
Yule rafiki yake Cha uroho wa channel 5Hahahaa si mchuzi huo!! Wallahi nakuapia sultana sjasikia chochote mimi napenda huyo anaemtafsiri amempatia sana
Talent za Bongo hasa wanawake huenda sambamba na msambwanda
[emoji3][emoji3][emoji3] Kumbe ndiyo maana Iren Paul kabuma kisa hana Mtako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani kabuma?
Hivi mtumwa mpya aliyepelekwa kwenye Kasri na Hurrem ndio yule Dada wa kwenye Fatmagul ?Ukimkuta kwenye Lodester " coban yildiz" kama sio yeye...mkatili huyoo
Sijawahi Kuwa shabiki ake hata sijuagiWewe unamsikia? Naona hana kiki tena.
Ni kwa vile hana matako ndiyo maana wengi sio mashabiki wake.Sijawahi Kuwa shabiki ake hata sijuagi
nampata kuna tangazo la malaria ile yenye nembo ya jani yupoYule rafiki yake Cha uroho wa channel 5
Unampenda?nampata kuna tangazo la malaria ile yenye nembo ya jani yupo
Huyu na ndo aliyeingiza sauti ya Sidath kwenye Jamai Rajanampata kuna tangazo la malaria ile yenye nembo ya jani yupo