Huu Hapa Wasifu wa Sumbula wa Tamthilia ya Sultan. Nimekuwekea kwa Lugha Adhimu ya Kiswahili

Huu Hapa Wasifu wa Sumbula wa Tamthilia ya Sultan. Nimekuwekea kwa Lugha Adhimu ya Kiswahili

Si mchuzi uoo chefuuu shukrani storyteller kwa kutupatia wasifu wa selim /sumbula naomba na wasifu wa Malkochoglo balbey.
 
Cheeeeeeefuuuuuu,eheee nini shida jina la sumbula limewakaa midomoni kama mnanidai vile ,,,haya nyie tokeni hapa kazi umbea tu
Ukimkuta kwenye Lodester " coban yildiz" kama sio yeye...mkatili huyoo
 
nampata kuna tangazo la malaria ile yenye nembo ya jani yupo
Huyu na ndo aliyeingiza sauti ya Sidath kwenye Jamai Raja
Instagram%20media%20-%20BlxdkG0hbAk.jpeg
 
Back
Top Bottom