Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
DuhJamani. Alienda gerezani kwa ajili ya kukutana na mtu mmoja ili wajadiliane jambo. Hakuwa na hatia.
Jamaaa fundiii haswa,Katumia lugha ya picha sana.
Msanii Vitali Maembe Adaiwa Kukamatwa na Polisi
WAKATI taarifa za kukamatwa kwa msanii Vitali Maembe zikiendeleaa kusambaa, Jeshi la Polisi linaonekana kuwa kimya huku likisema linafuatilia taarifa hizo.www.tanzaniaweb.com
HakikaJamaaa fundiii haswa,Katumia lugha ya picha sana.
Jamaa ni akili kubwa, bonge la songi. Kazi nzuri sana ya fasihi.
Msanii Vitali Maembe Adaiwa Kukamatwa na Polisi
WAKATI taarifa za kukamatwa kwa msanii Vitali Maembe zikiendeleaa kusambaa, Jeshi la Polisi linaonekana kuwa kimya huku likisema linafuatilia taarifa hizo.www.tanzaniaweb.com
Heshima kwa Vitalis MaembeJamaa ni akili kubwa, bonge la songi. Kazi nzuri sana ya fasihi.
Mkurugenzi wa TPDC anapewa tabu kwa kusema ukweliDuuuuuh