Nimeipenda sanaa hii duuh!Nilikuwa nadhani kuna nchi wanaishi cartoon. Kumbe ni mambo ya computer tu. Utoto balaa
Hadi Leo watu bado wanajua wazungu wote wanahela.Nidhani hakuna mzungu masikini
Hahaa ww ndo umeua mkuuZamani nlivokuwa mdogo nlidhani kuwa eti ukivuta sigara ndio ndevu zinaota[emoji23][emoji23]
Mimi nilidhani duniani hakuna kinachomshinda baba mzazi.Habari Ndug!.
Kiukweli nimekumbuka zamani sana Leo, kuna mambo ambayo nilivyokuwa mtoto mdogo niliyadhania tofauti nauhalisia wake kwakwelii. Mfano wa mambo hayo ni
1.Nilidhania kuwa Daktari huwa haugui.
2.Nilidhani kuwa Padri, huishi milele bila kufa
Hayo ni baadhi tu, nawewe kama kuna mambo uliyafikiri tofauti enzi zautoto unaweza kuongezea Ili tujikumbushe utoto wetu.
Amani kwenu!.
nilidhani mtu yeyote mweupe anaongea kiingerezaHabari Ndug!.
Kiukweli nimekumbuka zamani sana Leo, kuna mambo ambayo nilivyokuwa mtoto mdogo niliyadhania tofauti nauhalisia wake kwakwelii. Mfano wa mambo hayo ni
1.Nilidhania kuwa Daktari huwa haugui.
2.Nilidhani kuwa Padri, huishi milele bila kufa
Hayo ni baadhi tu, nawewe kama kuna mambo uliyafikiri tofauti enzi zautoto unaweza kuongezea Ili tujikumbushe utoto wetu.
Amani kwenu!.
Nilikuwa najua mtu akiongea kiingereza basi kwamba kila neno analoongea amefundishwa .nilidhani mtu yeyote mweupe anaongea kiingereza
[emoji23] [emoji23]Hadi Leo watu bado wanajua wazungu wote wanahela.
Mm nilijua mzungu anakunya kashata ....au chocolatenilidhani wazungu wanakunya mavi ya kijani
hah hah jah hah hii niliaminiNilijua waimba kwaya hawana dhambi, na eti mtu akikuua anachukua zambi zako zote wewe unaenda mbinguni