Huu kweli ni utoto aisee

Huu kweli ni utoto aisee

Nilijua hata atokee Simba....nikimsemea kwa baba huo ndio utakuwa mwisho wa maisha yake!!
 
Nilijua wachina uchumi wao wanategemea kungfu na brazir wanategemea mpira wa miguu.
 
Habari Ndug!.
Kiukweli nimekumbuka zamani sana Leo, kuna mambo ambayo nilivyokuwa mtoto mdogo niliyadhania tofauti nauhalisia wake kwakwelii. Mfano wa mambo hayo ni
1.Nilidhania kuwa Daktari huwa haugui.
2.Nilidhani kuwa Padri, huishi milele bila kufa
Hayo ni baadhi tu, nawewe kama kuna mambo uliyafikiri tofauti enzi zautoto unaweza kuongezea Ili tujikumbushe utoto wetu.

Amani kwenu!.
Mimi nilidhani duniani hakuna kinachomshinda baba mzazi.
 
Habari Ndug!.
Kiukweli nimekumbuka zamani sana Leo, kuna mambo ambayo nilivyokuwa mtoto mdogo niliyadhania tofauti nauhalisia wake kwakwelii. Mfano wa mambo hayo ni
1.Nilidhania kuwa Daktari huwa haugui.
2.Nilidhani kuwa Padri, huishi milele bila kufa
Hayo ni baadhi tu, nawewe kama kuna mambo uliyafikiri tofauti enzi zautoto unaweza kuongezea Ili tujikumbushe utoto wetu.

Amani kwenu!.
nilidhani mtu yeyote mweupe anaongea kiingereza
 
Nilidhani wanawake wanajifungua kupitia mdomo na sio viungo vyao vya uzazi kama wanyama wengine.
 
Back
Top Bottom