Huu kweli ni utoto aisee

Huu kweli ni utoto aisee

Mimi nilijua wale bank tellers zile pesa wanazopokea zinakua za kwao...
 
Nilidhani kuwa muwasho wa sehemu za siri ndo dalili za ukubwa
 
*nilizani kazi ya kitovu nikutolea mtoto alieko tumboni
*nilikua naona neno p#mbu ni tusi kubwa kuliko yoote kumbe ni kiungo cha mwili wa mwanaume
Bahat nzuri ukuwa nalo ani usingejua kama ni tusi
 
Nilijua baada ya msichana kukua hatakiwi kucheza na wavulana wala kugusana nao akifanya hivyo tu anapata mimba
 
Manilikua nikidhani watoto wa waalimu ndio wanakua naakili za darasani kuliko sie wawakulima
 
Wazungu ni wasafi Sana na hawanyi
Maana mavi ni uchafu.

Nimetunga tu hii lol-🙂
 
Me nilikua nadhani ukichang"anya mkojo mama angu anavimba matiti
 
Habari Ndug!.
Kiukweli nimekumbuka zamani sana Leo, kuna mambo ambayo nilivyokuwa mtoto mdogo niliyadhania tofauti nauhalisia wake kwakwelii. Mfano wa mambo hayo ni
1.Nilidhania kuwa Daktari huwa haugui.
2.Nilidhani kuwa Padri, huishi milele bila kufa
Hayo ni baadhi tu, nawewe kama kuna mambo uliyafikiri tofauti enzi zautoto unaweza kuongezea Ili tujikumbushe utoto wetu.

Amani kwenu!.

Nilidhani angani kuna barabara kwa ajili ya ndege (machine)
 
Back
Top Bottom