absamb
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 544
- 450
Bila shaka ni mhaya.
Sawa tumejua una fridge la laki 8 na 80 na kabati la nguo la laki 3 na 60.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tumejua una fridge la laki 8 na 80 na kabati la nguo la laki 3 na 60.
Mie yalinikuta pale Rwegasore duka la mama mmoja hivi Mwarabu karibia BazaaaaaTRA wamekaa tu maofisini.
Kazi yao kuzunguka na minyororo na makufuli tu.
Hii michezo wangetakiwa wawe wameshaisthika mapema sana.
Tatizo wakipata nyeti kama hizi watazuga na "inspection" ya wiki mbili then wanarudi kukaa maofisini.
Aisee naona TRA wanazungukwa sana, nilipoenda kijijini huko hata ununue kitu cha bei gani hupati risiti. Juzi kati nilinunua vifaa vya ujenzi wa choo, nilichukua cement, sink , bomba, waya mesh, nondo jumla ilikuwa kama 160,000 sikupewa risiti wala nini zaidi ya AHSANTE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka waandike 30000 walale njaaa
Ndo maisha mkuu...umepata huduma sepa tuAisee naona TRA wanazungukwa sana, nilipoenda kijijini huko hata ununue kitu cha bei gani hupati risiti. Juzi kati nilinunua vifaa vya ujenzi wa choo, nilichukua cement, sink , bomba, waya mesh, nondo jumla ilikuwa kama 160,000 sikupewa risiti wala nini zaidi ya AHSANTE
WANATAKIWA KUANZA NA WEWE AMBAYE UMESHIRIKI KUIBA USHURU WA SERIKALI KWA KUKUBALI RISITI YA BEI NDOGO KULIKO BEI HALISI....
Sasa we unadhani ningeelezeaje mkuu kuhusu manunuzi hayo nawizi unaotumika acha kukalili mkuu afu mi sinaga show off kama unavyodhani nimjinga tu ndio aweza fikiri ni show off Cc: mawazo yakimasikiniSawa tumejua una fridge la laki 8 na 80 na kabati la nguo la laki 3 na 60.
Kweli kabisa mi mwenyewe baada yakupewa mzigo na risiti hiyo nikawa nawaza hapa nikisimamishwa itakuwajee???? Mana TRA sio watu wakubezaa oooooh!!!!!Hiyo ipo kila mahali. Tena bora wanaokunong'oneza, wengine wakiona kuwa huna dalili za kuisoma hiyo risiti wanaandika kiasi cha hela wanachotaka na kukubidhi receipt yako bila wewe kujua.
Ni hatari sana, Ikitokea bahati mbaya ukakamatwa na huo mzigo balaa lake sio la nchi hii
Boss Wafanya biashara wameshaiba sana sasa niwakati wa kujenga reli, hospital, visima vya maji, elimu Bure, madawa, umeme vijijini n.k lazima tulipe Kodi kwa maendeleo ya taifaKwa hiyoo Kuliko kumfaidisha maskini mwenzakoo wewe unataka Maskini mwenzako azidi kuumia... Afuu mkulu azidi kuneemeka..! Kujikuta mzalendo kumbe kichwani zero...
ungeweza kusema bila kutaja hizo bei.Sasa we unadhani ningeelezeaje mkuu kuhusu manunuzi hayo nawizi unaotumika acha kukalili mkuu afu mi sinaga show off kama unavyodhani nimjinga tu ndio aweza fikiri ni show off Cc: mawazo yakimasikini
Yani wewe walikupiga ndefuu afu kumbe hiyo ndio inakuwa bonus yao serikali inakosa mapatoMie nilinunua vyuma vya kuwekea mapazia vyenye thamani ya Tshs360,000/=. Nikapewa risiti sikuangalia nikaweka tu kwenye pochi, nilivyofika home kuangalia nimeandikiwa Tshs6,000/= halafu hata hawakuandika nilichonunua!