Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi niko makini lazima niombe risiti, na nikishapewa naisoma kwa undani haswaaaaYani wewe walikupiga ndefuu afu kumbe hiyo ndio inakuwa bonus yao serikali inakosa mapato
Unaoufanya, fanya kilicho sahihi kwako, sio majungu na umbeaUpi?
amatolo! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hao TRA waanze na wewe kwanza ndio wengine wafuate.Aiseeeeee yani kila sehemu nowadays wanunuzi wanatongozwa kwa maneno matamu ili waandikiwe risiti ya bei tofauti na waliyonunulia inakera sana serikali yangu elekezeni nguvu kubwa kariakoo.
Mara nyingi tuu ndani ya miezi minne mfululizo nimekuwa nikienda k/koo kununua vifaa vya ndani fridge, meza, kabati, home theater, n.k marayakwanza nilinunua kabati la nguo lilikuwa linauzwa laki 3 na 60 baada ya kununua nikamwambia muuzaji naomba risiti akanivuta pembeni akaniambia naomba nikuandikie laki 2 na 20 kwenye risiti yako nikamuuliza why? Akasema ucjali we nielewe tuu nikakubali poa andika baada ya kujiuliza sana kwanini kanikatia hivii nilikosa jibu nikachukua mzigo nikasepa. mwezi uliofuata nikaenda kununua fridge ilikuwa inauzwa laki 8 na 80, nikamwambia muuzaji naomba risiti akaninong'oneza naomba nikwandikie laki sita mkuu, nikasepa hapana nataka bei yangu hiyo hiyo nikawa mkali akaogopa nikachukua nikasepa, sasa nimejikuta vitu vingi navyonunua imekuwa hivyo hivyo hawa jamaa wanaiibia serikali sana. TRA nawaomba wahusika kitengo cha ukaguzi wa maduka k/koo mwende mkaweke mtego wananasa kizembe sana hali zao ngumu kibiashara wanaegemea kwa wateja. Pia ningeomba watanzania wenzangu unapokwenda kununua bidhaa akikunong'oneza wakati wa utowaji risiti kwa bei pungufu na aliyokuandikia Kataa.
Daaah mkuu bado upo karne nyingi sana za nyuma pole sana sasa kuwa na vijisenti nikuringishia psychologically nimeshakujua nimtu wa type gani na mazingira uliyokulia ila take it simple tuu, by the way nimewlezea kitu real sikutaka bla bla za uwongo mkuuungeweza kusema bila kutaja hizo bei.
Ungeweza kuweka bei za mfano tu, mbona hujataja jina la duka? Mbona hujataja brand za hizo bidhqa ulizonunua?
Kwakuwa unajua wabongo wengi hatuna kabati za nguo na vi fridge vyetu vya laki mbili ukaona utuchokonoe tu kwa hizo bei.
Anyways mkuu usichukulie sana serious hizi comments za mtandaoni wengine tulishachafukwa na roho tokea Oktoba Twentififtini.
Nabeba box tu mkuu
Nimekupenda bure kabisa.Mimi huwa nawakubalia maana wanatafuta kipato ila sharti langu huwa na bei ipungue kidogo hapo hata kama ni kitu cha laki tatu wakiandika hamsini sina neno.
Mi kutoka kwa Fanya kama unajikuna uone[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Chamsingi ungeishauri serekali iwafukuze machinga wote na wenyewe wafungue maduka maana haiwezekani wengine wawe na msamaha wa Kodi kwa asilimia 100 , wengine wawe wanalipa wakati wengine hawalipi wakati wote mnauza Kama kawaida, wapo machinga wenye mitaji mikubwa tu ukiangalia vitu walivyomwaga chini ni duka tosha, Sasa c afadhal hao wanaolipa kidogo kuliko hawa wenye mitaji mikubwa pia (machinga wenye maduka waliyoyamwaga chini) lakini hawalipi kabisaAiseeeeee yani kila sehemu nowadays wanunuzi wanatongozwa kwa maneno matamu ili waandikiwe risiti ya bei tofauti na waliyonunulia inakera sana serikali yangu elekezeni nguvu kubwa kariakoo.