Huu mchongo wa Ukraine ukitiki tushtuane jamani, mjini pangumu

Hao katika mchakato huo wanaoongelewa ni wazungu wa Ulaya.
Katika bandiko lote hilo refu, hakuna neno "popote duniani" bali kasemea nchi za Ulaya.
 
Hawa watu hawana shukrani.
Waacheni wachapane wenyewe.
Kumbukeni kilichowakuta babu zetu zamani 1914-1918. (World war 1) na
1939-1945 (world war 2).

Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana nenda ukavune.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…