Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Nilikuletea Yohana 5:25 ambayo Mohamed alikopi na kusingizia imetoka kwa Allah. Tena hiyo Quran yenu haina hata mtiririko wa kueleweka,haijulikani mwanzo ni wapi mwisho ni wapi?

Labda unataka verse ya hii ya Quran inayosema wafuasi wa Isa watakuwa washindi?Watakua juu yenu msio mwamini.

Quran 3:55
Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
 
John 5 :25 kwanza haisemi kama quran inavyosema , pili haina uthibitisho wa nani kasema , tatu hakuna uhakika kuwa hayo maneno kayasema Yesu

Yesu mwenyewe kasema huko mbele kidogo

John 5:31 "If I bear witness to myself my testimony is NOT true.

Pia kuna tafsiri kila biblia inasema vyake, hapo chini nakuwekea baadhi tu ya tafsiri za kiengereza uone kila mmoja na maneno yake

ESV"Truly, truly, I say to you, an hour is coming, and is now here, when the dead will hear the voice of the Son of God, and those who hear will live.

NIVVery truly I tell you, a time is coming and has now come when the dead will hear the voice of the Son of God and those who hear will live.

NASBTruly, truly, I say to you, a time is coming and even now has arrived, when the dead will hear the voice of the Son of God, and those who hear will live.

CSB"Truly I tell you, an hour is coming, and is now here, when the dead will hear the voice of the Son of God, and those who hear will live.

NLTAnd I assure you that the time is coming, indeed it’s here now, when the dead will hear my voice — the voice of the Son of God. And those who listen will live.

KJVVerily, verily, I say unto you, The hour is coming, and now is, when the dead shall hear the voice of the Son of God: and they that hear shall live.

NKJVMost assuredly, I say to you, the hour is coming, and now is, when the dead will hear the voice of the Son of God; and those who hear will live.

Kwenye pia hatuna uhakika kama hayo ni maneno ya Allah,ni maneno tu ya Mohamed.
 
Si nimekuletea ushahidi hutaki kusikiliza umekazania ubishi

Soma nini biblia zenyewe zilivyoandika kuhusu injili ya Yohana nimekuwekea kwa wino mwekundu ushahidi ulipo

The Gospel of John:

"Many scholars of the past two centuries have denied that John wrote this book, partly because of their belief that the author fabricated many details such as the miracles and the discourses of Jesus (Luke 2:52: GOD forgave Jesus' sins and was "charitable" with him). (The Holman Illustrated Study Bible, ISBN: 978-1-58640-275-4, Gospel of John, Page1540)"

"Critical Analysis makes it difficult to accept the idea that the gospel as it now stands was written by one person. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"Within the gospel itself there are also some inconsistencies. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"To solve these problems, scholars have proposed various rearrangements that would produce a smoother order. However, most have come to the conclusion that the inconsistencies were probably produced by subsequent editing in which homogeneous materials were added to a shorter original. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"Other difficulties for any theory of eyewitness authorship of the gospel in its present form are presented by its highly developed theology and by certain elements of its literary style. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"The gospel contains many details about Jesus not found in the synoptic gospels. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"

"The final editing of the gospel and arrangement in its present form probably dates from between A.D. 90 and 100. Traditionally, Ephesus has been favored as the place of composition, though many support a location in Syria, perhaps the city of Antioch, while some have suggested other places, including Alexandria. (The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1136)"
 
Back
Top Bottom