Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Serikali haina pesa za kubadilisha miundombinu ila inayo pesa za kununua land cruiser new model kila mwaka wa fedhaHivi hii miundombinu ya mifereji kwa miaka yote imeshindwa kubadilishwa nakufanyiwa ubunifu mpya?