Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Nov 23, 2024 #21 Bongo senior said: Hivi hii miundombinu ya mifereji kwa miaka yote imeshindwa kubadilishwa nakufanyiwa ubunifu mpya? Click to expand... Serikali haina pesa za kubadilisha miundombinu ila inayo pesa za kununua land cruiser new model kila mwaka wa fedha
Bongo senior said: Hivi hii miundombinu ya mifereji kwa miaka yote imeshindwa kubadilishwa nakufanyiwa ubunifu mpya? Click to expand... Serikali haina pesa za kubadilisha miundombinu ila inayo pesa za kununua land cruiser new model kila mwaka wa fedha
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Nov 23, 2024 #22 Inasikitisha sana.