Yaani serikali ina nia nzuri tu. Ila watu wake wanatuletea usumbufu. Huu mfumo wa sis.tamisemi.go.tz una wavuta wanafunzi kutoka prems hawaji na unakuandikia success
Mfumo uko vizuri tu tunaita majina ya wanafunzi uko na kuchukua attendance ya walimu kila siku na kujaza dews student.waambie wakupeleke semina ya mfumo walimu