steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,194
- 1,636
Huenda Mimi tu ndyo nimegundua hili..? Tanzania kumekuwa na mfumuko Mkubwa wa bei kwenye nyumba na viwanja
Kumekuwa na mfumuko uliopelekea bei za nyumba kununua na kuuza kuwa kubwa kuliko uhalisia
Sasa ni kawaida kuambiwa kiwanja mbeni kinauzwa milioni 900 ambayo kiuhalisia haiendani na bei na thamani ya eneo
Bei ya kiwanja dar es salaam ni kubwa kuliko bei ya kiwanja kwenye Jiji la Capetown afrika kusini bei ya nyumba dar es salaam ni kubwa kuliko bei ya nyumba hata Johannesburg ambayo ni Jiji kubwa mala tatu ya dar es salaam
Imeenda mbali hata bei za kupanga nyumba au vyumba ni kubwa kuliko uhalisia
Binafsi nazani huenda Kuna utajayishaji unafanyika kupitia real estate