Hilo hakuna wa kuangalia sababu japo ya bei hizo kuwa kubwa bado kuna wapangaji na wanunuzi
Utakatishaji fedha uko kwa ukubwa sana na hakuna wa kuhoji sababu wenye mamlaka ndio wahusika wenyewe
Na hilo usitegemee kuna siku litapungua NEVER
siku zinavyokwenda gharama ndio zinazidi kupanda, tofauti ni speed ya ongezeko with time jambo ambalo ni gumu kutabiri because inategemea wenye pesa ( regardless halali au sio halali)