Acha uchumi uanguke tu sisi tuko busy kubambikia kesi za ugaidi wapinzaniKwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka.
Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri.
Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya sana, wameshindwa kudhibiti hali hii.
HuohuoMsimbo milia au!?
Hili swali inabidi waulizwe mabavicha mana ndio waasisi wa neno hiloKwani ameshaacha kuupiga mwingi?
Uheli upi sasa hapo?Heri kuliko bwana yuleeeee
Unajua nini wewe kwenye uchumi? Mfumuko wowote wa bei wa single digit hauna madhara yoyote kwenye uchumi bali unachochea ukuaji wa uchumi na biashara.Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka.
Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri.
Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya sana, wameshindwa kudhibiti hali hii.
Kwa Hali ya Mambo ilivyo kweli tuna wenye vyeti tu na siyo wasomi...Tuna wasomi kweli wa kuaminika au tuna wenye vyeti vya wa somi???
Rais aseme wamtii? Ushahau ya mabando?Dah! Aisee vifaa vya ujenzi vimepanda bei ghafla mpaka inaogopesha! Mbaya zaidi hakuna cha Rais, Waziri Mkuu, au Waziri mwenye dhamana aliye jitokeza mpaka sasa kutolea tamko.
Hili jambo linasikitisha na kuhuzunisha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpira ulipotea