Huu mfumuko wa bei unaoendelea nchini utaliangamiza Taifa kiuchumi na kiusalama

Huu mfumuko Nadhan unasababishwa na noti mpya nyingi zilizomwagwa hivi karibuni mtaani.

(Noti hizi ukizichunguza Ni fupi na Zina umbo dogo Zaid ya zile za mwanzo)

Nakumbuka,
Mwigulu Kuna sikU alisema,
Mama atamwaga pesa nying Sana ili mtaani vyuma vilegee.

Mlioshangilia Hilo, Nadhan ndo matokeo yake hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…