Anzisha kampeni ya kuoanda miti kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Mgao ni matokeo tu ya mabadiliko ya tabia nchi kutokana na uharibifu wa mazingira mnaoufanya.
Unafikiri kwa kuinama chini badala ya kuangalia juu...
Tatizo la umeme na huduma zingine duni za kijamii ktk nchi/taifa letu si matokeo ya hayo unayotaja hapa...
Bali ni matokeo ya
NCHI/
TAIFA HULI ZURI LA TANZANIA KUKOSA UONGOZI BORA...
Viongozi wetu hawa hawana akili za maono ya mbali na zinazoweza ku - project mambo na changamoto na kisha kuzikabili kabla hazijafika na kuleta madhara ktk nchi...
Specific kwenye hili la umeme mtu aweza kujiuliza swali hili...
Kwamba, pamoja na wataalamu wote tulionao, ina maana hawakuona mapema kabla kuwa mbele kidogo kutatokea shida ya uhaba wa umeme na kuandaa mkakati wa muda mfupi wa kukabiliana na tatizo...?
Hawa viongozi wetu kuna mawili. It's either ni uzembe na kulewa madaraka kiasi cha kujisahau kuwa wana - save watu au kweli ni WAJINGA na hawana maarifa tena ya kuongoza watu ili wapate huduma sahihi toka kwa serikali yao....!
TATIZO la UMEME si UKAME wala mabadiliko ya TABIA NCHI kama unavyijaribu kujitetea kijinga tu hapa. Tatizo ni AINA YA VIONGOZI tulio nao kuanzia Rais hadi huko kwenye wizara, taasisi ya TANESCO, mikoani na wilaya...
The whole system is completely rotten and it needs to be overhauled...