ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini , lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme
Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza Kuna mgao japo upo na hii Ni kulinda sijui Nini.
Nchi yetu wote tusifichane.
Wazo zuriFunga Solar mkuu maana hii serikali ya 5 tena haiweleweki usikute wanamake kununua midege mingine isiyo na tija.
Kuna mgao japo upo na hii Ni kulinda sijui nini
ndani ya week mbili naweza sema tulikua na siku 5 za bila umeme.. leo hii tangu saa 9 umerudi saa 6 usiku. Mji Kasoro.Hakuna mgao wa umeme hayo ni mawazo yako mgando.
Imefichwa koona itakuwa umeme. Tulia tunanyoosha nchi.Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini , lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme
Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza Kuna mgao japo upo na hii Ni kulinda sijui Nini.
Nchi yetu wote tusifichane
Nipo Chuga, juzi, jana ulikuwa mgawo. Yaani jijini mtaa mwingine ulikuwa na umeme mwingine haukuwa na umeme, waliuachia saa kumi jioni tangu waubane kuanzia asubuhindani ya week mbili naweza sema tulikua na siku 5 za bila umeme.. leo hii tangu saa 9 umerudi saa 6 usiku. Mji Kasoro.
Kweli mkuu, kama tumeweza kuificha Dunia kuhusu uviko, hatuwezi kushindwa kuwaficha watu wetu kitu kidogo kama umemeImefichwa koona itakuwa umeme. Tulia tunanyoosha nchi
usikute wanamake kununua midege mingine isiyo na tija
Kataa kwa kusema eneo lako hakuna mgao. Mbeya kila siku umeme unakatika baadhi ya maeneo jioni mpaka usiku wa manane wengine asubuhi mpaka jioni.Hakuna mgao wa umeme hayo ni mawazo yako mgando.
Kataa kwa kusema eneo lako hakuna mgao. Mbeya kila siku umeme unakatika baadhi ya maeneo jioni mpaka usiku wa manane wengine asubuhi mpaka jioni.
Idodomya hakuna mgao wa umeme wa Tanesco, labda dharura na ndani ya saa moja unarudi, labda tupo njiani na umeme unaokwenda Kanda ya ziwa ukitokea Mtera Kidatu nkWanasema Kuna ziada
Ndio hivyo mkuu, huku kwetu mi mgao tu.Idodomya hakuna mgao wa umeme wa Tanesco, labda dharura na ndani ya saa moja unarudi, labda tupo njiani na umeme unaokwenda Kanda ya ziwa ukitokea Mtera Kidatu nk
labda maji kidogo lkn haipiti siku tatu