Huu Mkufu inaweza kuwa mali?

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,001
Reaction score
2,010
Habari za muda huu Wana Jf. Niende Moja kwa Moja kwenye mada.

Leo Kuna sehemu nilienda kupata lunch na boss wangu, mmoja hv, maeneo ya slipway....nilipoingia wash room wakati natoka nikakuta na huu Mkufu kwenye ngazi. Nahisi unaweza kuwa wa thamani.

Mm sio mjuzi sana wa mambo haya ya madini ila kwa namna unavon'gaa unaweza kuwa ni madini halisi. Wajuzi wa hizo vitu nawakaribisha kwa maoni.
 
6 Elf 6 mi tano kwq hamis pale mahiwa na mchikichi. Hutaki twende nikupeleke au nikupe namba uwasiliane nae muuzaji
 
Mimi ni nani hata nizungumzie mkono ulioshika mkufu??
 
nenda kwenye jiwe ama kitu chochote kigumu ikwangue, ikikwanguka tupa kule na uende ukalale ila isipokwanguka jaribu kumuona sonara!.
 
Wakabidhi wenye hotel wamtafute mwenyewe.. Kuna vitu vya kuokota vina siri kubwa sana.. Soma hii

 
Halafu jambo la ajabu sijisikii kuiuza hata kwenda kuitafuta ni madini au lah, ila binafsi nimeipenda natamani niivae mwenyewe nifanye Nini ili niwe salama kama itakuwa Ina uhusiano na mambo ya Giza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…