Huu mkutano wa Mnyika ni wa kuongeza mtafaruku au wa kupunguza?

Huu mkutano wa Mnyika ni wa kuongeza mtafaruku au wa kupunguza?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Huku mkutano hauna fununu kwamba utakuwa unahusu nini.
Meanwhile tumeona mambo yanakuwa acrimonious katika kampeni.
Watu wanasema tumfukuze Tundu Lissu kutoka kwenye Chama,tumuadhibu Tundu Lissu.
Once the campaign is underway, Kamala Harris anaweza vipi ku mu-arrest Donald Trump?
Yule ndiye Mpinzani wako unayetakiwa kumshinda kwenye ulingo wa mapambano,unauliza,nitamthibiti vipi ili Uchaguzi usitokee?
 
Inamaana tutegemee Tangazo la kufuta uchaguzi sababu chama hakina fedha za kuita wajumbe?
 
Back
Top Bottom