Huu mkweche umeaminika kuyabeba magari mengine!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
01_11_8ap3x0.jpg

A breakdown service vehicle tows a motorcycle that had just been involved in an accident along Sokoine Drive in Dar es Salaam on Saturday. (Photo by Yusuf Badi)
 
Huu mkweche kwanza ya yote haufai kuwepo barabarani.............................na unaweza hata kusababusha ajali na hasara maradufu.........achilia mbali kuburuta au kubeba magari mengine...................................Someone should arraign on these jalopies..................
 
Ruta, wenyewe wakikusikia hakika gari lako halitakanyanga ktk barabara zao, kwani hujui kuwa breakdown zote ni za wale maafande wanao vaaga mavazi meupe? Shauri yako.
 
Well said
 
Back
Top Bottom