Huu mmea ni dawa nzuri ya vidonda mwilini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Hiii ni dawa nzuri ya Vidonda
Wengi mna sikia hadithi tu
Kua kuna mti.huo wa nyoka

Yani nyoka wakipigana mmoja ikatokea kamjeruhi mwenzake au kuzimia
Huenda kwenye mti flani uchuma jani na kumtemea mwenzake na kuamka

Basi dawa hii NI nzuri kwa mwenye vidonda vyovyote vile ambavyo vya ndani na njee ya mwili
Ume pata ajali vidonda vya tumbo n.k

Ila Kama umeona ume itumia Katika vidonda vya tumbo na huja pona jua hauna vidonda vya tumbo una acid reflux nyingi

Twanga ikiwa mbichi paka kwenye vidonda utaona maajabu

Ukipaka Leo kesho kwa uwezo wa Mungu kidonda kitakua kime pona pakubwa
Na Kama ni vidonda vya tumbo Anika kivulini Kisha twanga unga wake

Vijiko vidogo vya chai kimoja kwenye maji baridi asubuhi na jioni siku 7

Usipo pona tumia dawa za uric acid reflux

 
Jina la mmea?
 
Kiboko yake ni hiiView attachment 3156764
 
Asante kwa elimu hii mujarabu mkuu. Ubarikiwe sana.
 
Je na dawa ya hiyo uric acid reflux ni ipi ?
 
Haya si majani ya sungura?
 
Mchunga? Huu pia ni habari. Both of them ni dawa nzuri na mboga poa sana
Hapana mkuu huu sio mchunga ni jani poli tu linaota kwenye ardhi isio limwa dawa nzuri kwa vidonda (majereha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…