Huu mmea ni dawa nzuri ya vidonda mwilini

Huu mmea ni dawa nzuri ya vidonda mwilini

Hiii ni dawa nzuri ya Vidonda
Wengi mna sikia hadithi tu
Kua kuna mti.huo wa nyoka

Yani nyoka wakipigana mmoja ikatokea kamjeruhi mwenzake au kuzimia
Huenda kwenye mti flani uchuma jani na kumtemea mwenzake na kuamka

Basi dawa hii NI nzuri kwa mwenye vidonda vyovyote vile ambavyo vya ndani na njee ya mwili
Ume pata ajali vidonda vya tumbo n.k

Ila Kama umeona ume itumia Katika vidonda vya tumbo na huja pona jua hauna vidonda vya tumbo una acid reflux nyingi

Twanga ikiwa mbichi paka kwenye vidonda utaona maajabu

Ukipaka Leo kesho kwa uwezo wa Mungu kidonda kitakua kime pona pakubwa
Na Kama ni vidonda vya tumbo Anika kivulini Kisha twanga unga wake

Vijiko vidogo vya chai kimoja kwenye maji baridi asubuhi na jioni siku 7

Usipo pona tumia dawa za uric acid reflux

May be an image of buttercup
Unaitwaje
 
Je na dawa ya hiyo uric acid reflux ni ipi ?
Uric acid na acid reflux ni vitu mbili tofauti japo zote ni acid ila kila moja ina athiri sehemu fulani ya mwil.
Acid reflux huathiri tumboni
Uric acid huathiri viungo vya mwili kupitia damu
 
Back
Top Bottom