Huu moto umezimwa kweli?

Huu moto umezimwa kweli?

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Hiyo ndiyo meli ya mafuta yenye mafungamano na Uiengereza Martin Luanda ilivyoanza mara baada ya kupigwa na kombora kutoka kwa Houth

1706446510450.png

Halafau vikosi vya wanamaji vya India vikaiona ikiendelea kuungua kama hivi

1706446454769.png

Na vikosi vya wanamaji wa kifaransa wakaiona iko kama hivi
1706446820597.png

Pictured: British-linked tanker on fire after Houthi missile attack

Hiyo ndiyo meli ya mafuta yenye mafungamano na Uiengereza Martin Luanda ilivyoanza mara baada ya kupigwa na kombora kutoka kwa Houth

View attachment 2886017
Halafau vikosi vya wanamaji vya India vikaiona ikiendelea kuungua kama hivi

View attachment 2886015

Na vikosi vya wanamaji wa kifaransa wakaiona iko kama hivi
View attachment 2886022

Pictured: British-linked tanker on fire after Houthi missile attack

View: https://twitter.com/Osint613/status/1751296063640678573?t=TFhI9ChsG7MVzlcrUhTEbg&s=19
 
Nani kaomba ceasefire? Yemen we labda kichaa anaye omba ceasefire ni US kwa kutumia njia ya Oman na Yemen wamekataa, baki unaropoka kama mlevi wa gongo.
Anadhani Yemen ni Gaza.
Saudia alivamia Yemen kwa mgongo wa USA Yemen haikusitisha wala kuomba mapigano yaishe mpaka Saudia yenyewe ilipotaka suluhu.
Hao wanajuaga kuingia ila kutoka vitani inakuaga ngumu sijui wana nafsi gani.
 
Mmeamia yemen na sio gaza tena yaani mko kama mpira wa kona
Wakristo wengine sijui sanamu huwa linawadhuru, kwani hi topic ya Yemen au Gaza?

Hakukosea Yesu kuwambieni hakutumwa isipokuwa kwa kondoo walio potea, afu kwa kuwa nyie ni mikondoo mnasema Yesu ndio njia ya peponi, mnakubali kabisa kama makondoo yalio potea 😄

Vipi kondoo aliye potea aone njia ilio potea na yeye kisha potea, afu tena basi uwe Myahudi, sa we mbongo na Myahudi wapi na wapi, Yesu alikuja kwa kondoo wa kiyahudi tena walio potea si wale wako sawa 😄

Hizi bibilia zenu bado tu hamzifahamu, Yesu alitumwa kwa kondoo tu walio potea, na mistari ipo wazi kabisa.
 
"Religion is an OPIUM of the People". By Marx
Mwanadamu mwenye IQ ndogo huhitaji kumpa Cocaine ili umtawale, bali mjaze Dini kwenye kichwa chake utamtawala mpaka anaenda Kaburini.
Nyie watu stukeni ndugu zangu, Ngozi nyeusi tuna shida hapo kwenye maandiko ya Marx.
Kila mjadala ukizuka tunakimbilia kutukanana kwa mlengo wa Dini zetu. Hebu wakati mwingine tufiche upumbavu wetu tunajivua nguo. Tumeshakuwa Mateja wa Dini zetu too much
 
Karl Marx ndo alisema 'muda ulibuniwa na makampuni ya saa ili wauze saa!?'..Kama ndiye basi mpumbavu tu yule,hafai kuwa rejea
 
Yemen baada ya kushambuliwa walitangaza vita rasmi dhidi ya Magaidi (US & UK). Hawakulalamika ceasefire, hao ndo watabe akili zao zinawaza vita tu muda wote.
Yemen ni maskini kuliko Tanzania. Wakipigana na US na UK watatoboa?
 
Walisema baada ya hapo wanaelekea bandari ya karibu.
Unajua bandari ya karibu ya pale ni wapi ?.
Jee una taarifa walifika hiyo bandari ya karibu.
Hebu tuambie mwana yemen hizo taarifa za kufika bandari ya karibu umezitoa wapi
Na hiyo bandari ya karibu hapo yemen?
 
Back
Top Bottom