Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
mtiririko wa matukio ni kama hivi:Kati ya wauthi na Uingereza nani alianza kumshambulia mwingine?
Uiengereza aliwafadhili wayahudi waingie kwenye ardhi za wapalestina na kuunda taifa lilioitwa Israel mwaka 1948
Kutoka mwaka huo wao na Marekani wamekuwa wkiipa Israel misaada kila aina kujiimarisha na kuwakandamiza wapalestina kote mashariki na magharibi.
Wapalestina chini ya Hamas walijipanga kimya kimya na ilipofika oktoba 7 mwaka 2023 wakaingia kusini ya Israel na kusambulia na kuchukua mateka.
Uiengereza na Marekani wakashtushwa na tukio hilo na kuipa msaada wa kila hali Israel ili ilipize kisasi na wakafanya hivyo kwa nguvu kubwa ya kivita ambayo haijapata kuonekana.Watu wengi wakawa wanakufa na mali kuharibiwa.
Marafiki wa wapalestina kama Houth ikawauma na kuamua kulipiza kisasi kwa kushambulia maslahi ya Uiengereza.