Hiyo ndiyo meli ya mafuta yenye mafungamano na Uiengereza Martin Luanda ilivyoanza mara baada ya kupigwa na kombora kutoka kwa Houth
View attachment 2886017
Halafau vikosi vya wanamaji vya India vikaiona ikiendelea kuungua kama hivi
View attachment 2886015
Na vikosi vya wanamaji wa kifaransa wakaiona iko kama hivi
View attachment 2886022
Pictured: British-linked tanker on fire after Houthi missile attack
Nani kaomba ceasefire? Yemen we labda kichaa anaye omba ceasefire ni US kwa kutumia njia ya Oman na Yemen wamekataa, baki unaropoka kama mlevi wa gongo.Halafu wao wakishambuliwa wanaanza kelele za ceasefire
Anadhani Yemen ni Gaza.Nani kaomba ceasefire? Yemen we labda kichaa anaye omba ceasefire ni US kwa kutumia njia ya Oman na Yemen wamekataa, baki unaropoka kama mlevi wa gongo.
Mmeamia yemen na sio gaza tena yaani mko kama mpira wa konaAnadhani Yemen ni Gaza.
Saudia alivamia Yemen kwa mgongo wa USA Yemen haikusitisha wala kuomba mapigano yaishe mpaka Saudia yenyewe ilipotaka suluhu.
Hao wanajuaga kuingia ila kutoka vitani inakuaga ngumu sijui wana nafsi gani.
Wakristo wengine sijui sanamu huwa linawadhuru, kwani hi topic ya Yemen au Gaza?Mmeamia yemen na sio gaza tena yaani mko kama mpira wa kona
Karl Marx ndo alisema 'muda ulibuniwa na makampuni ya saa ili wauze saa!?'..Kama ndiye basi mpumbavu tu yule,hafai kuwa rejea"Religion is an OPIUM of the People". By Marx
Mwanadamu mwenye IQ ndogo huhitaji kumpa Cocaine ili umtawale, bali mjaze Dini kwenye kichwa chake utamtawala mpaka anaenda Kaburini.
Nyie watu stukeni ndugu zangu, Ngozi nyeusi tuna shida hapo kwenye maandiko ya Marx.
Kila mjadala ukizuka tunakimbilia kutukanana kwa mlengo wa Dini zetu. Hebu wakati mwingine tufiche upumbavu wetu tunajivua nguo. Tumeshakuwa Mateja wa Dini zetu too much
Ceasefire kuruhusu misaada ya kibinadamu😁😶.Halafu wao wakishambuliwa wanaanza kelele za ceasefire
Yemen baada ya kushambuliwa walitangaza vita rasmi dhidi ya Magaidi (US & UK). Hawakulalamika ceasefire, hao ndo watabe akili zao zinawaza vita tu muda wote.Halafu wao wakishambuliwa wanaanza kelele za ceasefire
Yemen ni maskini kuliko Tanzania. Wakipigana na US na UK watatoboa?Yemen baada ya kushambuliwa walitangaza vita rasmi dhidi ya Magaidi (US & UK). Hawakulalamika ceasefire, hao ndo watabe akili zao zinawaza vita tu muda wote.
Hebu tuambie mwana yemen hizo taarifa za kufika bandari ya karibu umezitoa wapiWalisema baada ya hapo wanaelekea bandari ya karibu.
Unajua bandari ya karibu ya pale ni wapi ?.
Jee una taarifa walifika hiyo bandari ya karibu.
shambulia magaidi sio watoto na wanawake,ndo maana ugaidi hauishi coz US na UK akili ndogo kwenye maswala ya vita kuliko Hamas,Houth nkHalafu wao wakishambuliwa wanaanza kelele za ceasefire
Soma na hii utaelewe zaidi halafu uje na jibuHebu tuambie mwana yemen hizo taarifa za kufika bandari ya karibu umezitoa wapi
Na hiyo bandari ya karibu hapo yemen?
Kumbe majibu unayo unaniuliza mimi nini? Uko timamu kweli kichwani?Soma na hii utaelewe zaidi halafu uje na jibu
Fire on Marlin Luanda extinguished after 6 hour battle
Yemen wametuacha mbali sana kitech, kama sindano tu zinatushinda kutengeneza tutawafikia lini Yemen?. Ushaona Yemen wanahangaika na misaada kama sisi watoto wa Kizimkazi?Yemen ni maskini kuliko Tanzania. Wakipigana na US na UK watatoboa?
Kati ya wauthi na Uingereza nani alianza kumshambulia mwingine?Halafu wao wakishambuliwa wanaanza kelele za ceasefire