Huu mpasuko ndani ya CCM ndio ukombozi wa taifa letu. Bila CCM kupasuka hatuwezi kupona

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Tangu tumepata uhuru zaidi ya hayati Nyerere kupata msukomsuko ule wa 1964 mimi binafsi sijawahi kumsikia mkuu wa nchi yetu akitamka hadharani kuwa watu walitaka kuangusha dola.

Utawala wa Hayaji Julius nimeushuhudia. Utawala wa mzew Mwinyi ndio kabisa.

Nisiongelee juu ya Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa ,Kikwete na hata JPM .

Lakini kinachoendelea ndani ya CCM ndio ukombozi wa taifa letu.

N.B Kuhusu Idugunde ni mkulima wa mazao mbalimbali na mwanafalsafa anayeishi Igunga.
 
Hata huyo Nyerere aliwahi kusema, upinzani wa kweli wa ccm utatoka ndani ya ccm
 
Tangu tumepata uhuru zaidi ya hayati Nyerere kupata msukomsuko ule wa 1964 mimi binafsi sijawahi kumsikia mkuu wa nchi yetu akitamka hadharani kuwa watu walitaka kuangusha dola.

Utawala wa Hayaji Julius nimeushuhudia. Utawala wa mzew Mwinyi ndio kabisa.

Nisiongelee juu ya Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa ,Kikwete na hata JPM .

Lakini kinachoendelea ndani ya CCM ndio ukombozi wa taifa letu.

N.B Kuhusu Idugunde ni mkulima wa mazao mbalimbali na mwanafalsafa anayeishi Igunga.
Kichwa cha samaki Samia ameua CCM.
 
CCM itatoka Ila sio Leo mpaka kizazi chenu cha watu wajinga kiwe kimeisha kizazi kinachoambiwa muandamane jeshi litawalinda

Hata Nyerere alifanikiwa Ila baada ya generation ya kina Kijenkitile Ngware kuwa imeondoka
 
Back
Top Bottom