Kichwa cha samaki Samia ameua CCM.Tangu tumepata uhuru zaidi ya hayati Nyerere kupata msukomsuko ule wa 1964 mimi binafsi sijawahi kumsikia mkuu wa nchi yetu akitamka hadharani kuwa watu walitaka kuangusha dola.
Utawala wa Hayaji Julius nimeushuhudia. Utawala wa mzew Mwinyi ndio kabisa.
Nisiongelee juu ya Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa ,Kikwete na hata JPM .
Lakini kinachoendelea ndani ya CCM ndio ukombozi wa taifa letu.
N.B Kuhusu Idugunde ni mkulima wa mazao mbalimbali na mwanafalsafa anayeishi Igunga.