Hyo point mkuu mwambie waiter akupe bia mbili kwa bili yangu[emoji23] [emoji23]Sasa wew unaposema kundi A wanajiona ndo kila kitu mbona kama ni mchonganishi na unazidi kueneza chuki, bila shaka wewe ni kundi B. Na je, unauhakika gani nyuma ya pazia nani anataka ukarb na mwenzake na nani hataki ushirikiano. Ofcoz mi kwa mtazamo wangu naona fans wa kundi B hakuna kitu wanaomba usiku na mchana zaidi ya kuomba kundi A lishuke. Na kwa hakika hamtoweza labd baadae sana ambapo kundi A watakuwa wameshapata mavuno ya kutosha kabisa kustaaf muziki
Hahaha au siyo, basi sawaHyo point mkuu mwambie waiter akupe bia mbili kwa bili yangu[emoji23] [emoji23]
Kwa wale wafutaliaj wa mambo watakuwa wameolidavua hili sasa kuna kundi A ambalo lenyewe linajiona kila kitu halitak ukaribu kabisa na kundi B hili linaundwa na Diamond na WCB,shettah, ney wa mitego, stan bakora
Wakati kundi B linaundwa na alikiba,mwana fa,ommydimpoz, barakah the prince, yaani ni nadra sasa kukuta kundi A wamesapot kazi ya kundi B na kundi B hivo hivo
Sasa wew unaposema kundi A wanajiona ndo kila kitu mbona kama ni mchonganishi na unazidi kueneza chuki, bila shaka wewe ni kundi B. Na je, unauhakika gani nyuma ya pazia nani anataka ukarb na mwenzake na nani hataki ushirikiano. Ofcoz mi kwa mtazamo wangu naona fans wa kundi B hakuna kitu wanaomba usiku na mchana zaidi ya kuomba kundi A lishuke. Na kwa hakika hamtoweza labd baadae sana ambapo kundi A watakuwa wameshapata mavuno ya kutosha kabisa kustaaf muziki
agiza kinywaji nalipiaSasa wew unaposema kundi A wanajiona ndo kila kitu mbona kama ni mchonganishi na unazidi kueneza chuki, bila shaka wewe ni kundi B. Na je, unauhakika gani nyuma ya pazia nani anataka ukarb na mwenzake na nani hataki ushirikiano. Ofcoz mi kwa mtazamo wangu naona fans wa kundi B hakuna kitu wanaomba usiku na mchana zaidi ya kuomba kundi A lishuke. Na kwa hakika hamtoweza labd baadae sana ambapo kundi A watakuwa wameshapata mavuno ya kutosha kabisa kustaaf muziki