aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Kwa wale wafutaliaj wa mambo watakuwa wameolidavua hili sasa kuna kundi A ambalo lenyewe linajiona kila kitu halitak ukaribu kabisa na kundi B hili linaundwa na Diamond na WCB,shettah, ney wa mitego, stan bakora
Wakati kundi B linaundwa na alikiba,mwana fa,ommydimpoz, barakah the prince, yaani ni nadra sasa kukuta kundi A wamesapot kazi ya kundi B na kundi B hivo hivo
Wakati kundi B linaundwa na alikiba,mwana fa,ommydimpoz, barakah the prince, yaani ni nadra sasa kukuta kundi A wamesapot kazi ya kundi B na kundi B hivo hivo