Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
umesahau mzee hzo ni V8 zle nyeusi tu..bado kuna zile v8 nyeupe,kuna ile gar ndogo nyeupe(benzi),kuna zle land cruiser station wagon,kuna zle ambulance mbili (ile nyeusiii tiii na ile nyeupe)
Bado kuna ile V8 ilikuwa na plate No private T...DEL
nikifikiria engine za V8 na zle cruiser zinavyobwiya mafuta kiukweli naona kabisa;
》KODI za wananchi znatumika vema kabisaaa
》Serikali inabana sana matumizi yaani sana mana kwa ile idadi ya V8 akili kumkichwa
》Kwa mtu wa nje ya nchi asie ijua tz afu akatazama huu msafara kwny media,,,,huwez mwambia hii nchi ina shda ya maji na barabara ...hawez kukuamini
PIA;;
inaonesha mheshmiwa hana imani kabisa na akina MUSHI (wachagga) mana kuna mmama kalalamika kudhurumiwa huko vikoba na m.kiti ambaye jna lake n mushi ndo kasepa na hzo pesa
HAKIKA HII NCHI NI TAJIRIII.
KUNJA NGUMI[emoji110],JIPIGE KIFUA SEMA SISI NI NCHI TAJIRI.[emoji28]
Sent using
Jamii Forums mobile app