Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Myoa Mara umesrma nchi ulixowahi kutembelea hujawahi kuona. Hebu tutajie hata 3 tu
God save us
God save us
Karibu mjini ndugu. Msafara wa diwani wako huko ulikotokea una magari mangapi?Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Hivi magari ndio yanamlinda mheshimiwa?Acha wivu wa kimama wewe
Huyo ni kiongoz mkuu wa nchi msafara wake must uwe na "security tight" mambo mengi yako nyuma ya pazia, so we kaa tuliza kinyampio yan unataka Rais afanye ziara ako na gari moja like Taxi drive?
Pongezi kwao wenye jukumu la kumlinda wanafanya kazi nzuri sana[emoji122][emoji122][emoji122]
BIG UP!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Aisee una roho ngumu, yaani Yale magari kabisa ukakaa unahesabu? Chadema hauna kazi?Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
amejitengenezea maadui wengi,anaogopa analowafanyia wenzake yasimpateLeo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Huyo ni rais wa nchi mkuu. Umewahi uona msafara wa Rais wa Malawi? Unakuwaga na vifaru je unausemeaje msafara huo wa rais wa Malawi wwnye vifaruLeo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
kwani anatembelea somali,yeye c ndo anatuambia nchi hii ina amaniRaisi ni Raisi tuu , huwez kuwa Sawa na raisi , ni halali yake sababu za kiusalama
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
ndiyo hapo sasa anaposema amefuta safari za nje ili kuokoa matumizi ya fedha. Je hapo anaokoa au anachoma fedha za Watanzania? Huyu mzee kichwa chake mbatata kabisa| hamna kituLeo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Ukiona kiongozi anahofia usalama wake ujue na yeye ni tishio kwa usalama wa wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipokwenda Mbeya mwanzoni mwa 2019 kulikuwa magari kati ya 80- 100. Zote hizo zinakula mafuta na maofisa na madreva waliotoka nje ya mkoa wanakula posho ya kuwa nje ya kituo. Halafu bado anadai eti ana bana matumizi kwa ajili ya wanyonge.Tuwekee picha bas tuone hzo gar 50! Maana ninachojua JK ndo akiongoza kwa msafara mrefu ila huyu mzee gar zimezidi kwake 7.