Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
Scha uongo mkuu, gari hazifiki hata 20
 
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan wanaendq vitani? Silaha za nini? Si yeye huyu anatuaminisha Tanzania ina amani ila amani anayohubir haiamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Kwahiyo unataka msafara upunguzwe ili uufanye nini?

Mlituulia Sokoine, mnataka na huyu mfanye yenu
 
Raisi ni Raisi tuu , huwez kuwa Sawa na raisi , ni halali yake sababu za kiusalama
Mwenyekiti wa Chadema pekee Akiwa kwenye ziara gari zinakuwa zaidi ya 20 Sembuse Rais. Kwanza ninachokiona ni bora hata zingekuwa 80 ziongezwe na Wanamaombi maana Michawi ya Maendeleo siwaamini sana kwenye usalama wa Rais. Labda wadadavuzi wa Mambo kwasababu amesababisha mpaka watengeneza Korona kuchanganyikiwa.
 
Sina shida na magari yanamzunguka kama hakuna kifo.

Kwanini asababishe watu tuchelewe kazini na msongamano huko barabarani hakupitiki?

Hizo chopa ziliwekwa za nini?
 
Anaogopa kutendewa anayowatendea wengine...!?
Ila ipo siku yake tu...!!
 
Rais atumie ndege kupunguza adha kwa raia! Maana hapo utakuta barabara imefungwa tangu asubuhi!
 
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Silaha! Kwani kuna vita, halafu nchi si ni ya amani hii.
 
Back
Top Bottom