Sio kweli, Nyerere aliwahi hupiga marufuku magari yasizidi kumi unless ulikuwa hujazaliwa.Huna akili rais hapangi awe na magari magapi kwenye msafara wake idiot
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, Nyerere aliwahi hupiga marufuku magari yasizidi kumi unless ulikuwa hujazaliwa.Huna akili rais hapangi awe na magari magapi kwenye msafara wake idiot
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipi litatokea kwenye nchi ya amani si ndio wanavyosema amaKila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka au na bodaboda? Utapata stress bure!Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Wewe ulikuwa kula kulala.Sio kweli, Nyerere aliwahi hupiga marufuku magari yasizidi kumi unless ulikuwa hujazaliwa.
Duh silaha na mitambo tena- tupo vitani?Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajua mitambo ni ya vita tu mkuu! Kuna mitambo ya Jammer mkuu!Duh silaha na mitambo tena- tupo vitani?
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Unateseka, kwani ni zake zote. Ila pole ulikuwa wapi? Au ni jobless[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Za mpendwaAmbulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Kwani leo hakuna chopa?Basi amepunguza magari huwa ni zaidi ya 100.
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Jammer za nini ? Anatafutwa na mataifa makubwa?Wewe unajua mitambo ni ya vita tu mkuu! Kuna mitambo ya Jammer mkuu!
Usishangae. Watu wa kanda ya ziwa wana tabia ya kuona ufahari wanapozungukwa na ng'ombe na magari mengi. Mtu wa kanda ya ziwa akiwa tajiri au uwezo ataona ufahari katika kuwa na ng'ombe wengi au magari mengi au vyote viwili.Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8. Noma sana.
Gharama za kuendesha hayo magari unadhani alipia nani kama siyo kodi zetu?
In God we Trust
Marais wote duniani ni kawaida sana hili,
Ni kawaida kwa rais kuwa na wanausalama,viongz wanaomsindikiza kwenda pengine kwenye tukio husika.
Marekani rais wao alipokuja mbona hamkwongea na walishuka hadi na ma gar yao?
Ukiachana tu na USA,
Yapo mataifa tu hapa Africa ambayo pia ni kawaida sana kwa vitu kama hivi...
So tusishangae sana.
Hata wewe ukiambiwa leo uwe rais lazima ufate Kitu kinaitwa PROTOCOL
Watu kama nyie ndio mnaishushia hadhi JF. What is this??
Hivi mkuu, katika hali ya kawaida msafara wa Rais wa Tanzania unaweza kutisha dunia nzima?? Mleta mada amefikiaje hilo hitimisho. Ushahidi wa hilo hitimisho ni upi?? Unless na wewe unaakili kama za mleta mada utaona post yake ipo sahihi.
Ingekuwa habari vile vile wangesema nchi imefilisikaEti zote ni v8 , vipi zingekuwa zote ni IST isingekuwa habari eee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako hata hiyo tv hauna masikini ya lumumba,Acha uongo wewe
Wewe umezaliwa lini?!