Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Hata hivyo amepunguza nlishawahi shuhudia na kuhesabu V8 91 zinamfuata kwanyuma, ambulance 9 zipo mbele na nyuma, chopa ([emoji576]) Saba 7 zimetanda juu ya anga huko maeneo ya arusha kipindi kile anaenda kukutana na kenyata, hapo ndo nlijua rais Wa wanyonge analindwa zaidi ya kiongozi Wa kigaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr nimekudharau sana, wewe ni lijinga. Hivi inakuwaje unamdhihaki rais wa nchi???! Hivi una akili kweli???? Idiot kabisa, na umaarufu wako hakika utashuka ndani ya jukwaa.
Huyo ni mwehu achana nae, anadhani Rais ni mtu mmoja, amesahau ile ni Taasisi...

Na pia, ajaribu kuangalia ulinzi wa marais wa nchi nyingine, huu msafara wa rais wetu mbona wa kawaida...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umevurugwa jana pale kona bar
Nyie wajinga sana, hivi serikali haijui kuwa ninyi na magenge yenu ya uharifu mnachopanga, idiot wakubwa, tena juzi tu hapa mlivyowasahaurifu na wapumbavu mlishangilia kuhusu kuugua rais. Acha alindwe maana taasisi ndiyo inaamua ulinzi na siyo rais as individual

In God we Trust
 
Wewe umetoroka mirembe na dozi hukumaliza, ama kweli kichaa akirogwa inakuwa ni shida
Bavicha ni kikundi cha vichaaa. Wao wanadhani rais anaamka na kusema leo nataka gari moja hahaha, hawajui taasisi ya urais inamua aina ya ulinzi, mijinga kabisa

In God we Trust
 
Hofu na woga tu [emoji35][emoji35]
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Serkali si ya Wanyonge hata kidogo na tuendelee kuomba ili Kolona itusaidie
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.

Madikiteta wana shida sana hapa duniani
 
Huo ni uongo mkubwa msafara haukuwa na magari mengi sana nimepishana nao ambulance 2 sio ajabu ikitokea ajali moja inawahisha hospital nyingine inaendelea na safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kina maana yake hizo gari zinazokuwa na dereva peke yake kuna sababu ya msingi kufanya hivyo gari zinazobeba walinzi au lile linalombeba mheshimiwa lolote linaweza kutokea, gari nyingine zimebeba silaha na mitambo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Mitambo ya kutengeneza screen protector za maji
 
Ambulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Ambulances za nini? Uko serious kweli?

Ambulance moja ni kwa ajili ya Rais tu na nyingine ipo tayari kuhudumia mtu yeyote kwenye huo msafara.
 
Back
Top Bottom