Huu msemo mliokuwa mnawaambia wanaume watafute hela sasa mtatafuta nyie

Huu msemo mliokuwa mnawaambia wanaume watafute hela sasa mtatafuta nyie

Wauzaji wa containers

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
615
Reaction score
1,443
Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume.

Hakika karma is bitch

Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
 
Mbona mm naona wanao hudumiwa wana nyanyaswa tuu 😀
Niache nitafute hela mpwa..
 
Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na. Wanawahudumia sana wanaume.

Hakika karma is bitch

Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
Mtaji nguvu za kiume😁
 
Wana wako pumbu na ngai wanasubiri sizoni ya kukimbiliwa na KE 7 aliyosema Bi.Safaricom.
 
Back
Top Bottom