Wauzaji wa containers JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 615 Reaction score 1,443 Jul 29, 2024 #1 Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume. Hakika karma is bitch Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume. Hakika karma is bitch Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
Kaputupu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,486 Reaction score 1,174 Jul 29, 2024 #2 Mbona mm naona wanao hudumiwa wana nyanyaswa tuu 😀 Niache nitafute hela mpwa..
Grim Langdon JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 774 Reaction score 2,262 Jul 29, 2024 #3 JOHN MAXWELL said: Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na. Wanawahudumia sana wanaume. Hakika karma is bitch Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya Click to expand... Mtaji nguvu za kiume😁
JOHN MAXWELL said: Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na. Wanawahudumia sana wanaume. Hakika karma is bitch Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya Click to expand... Mtaji nguvu za kiume😁
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,435 Reaction score 7,784 Jul 29, 2024 #4 marioo
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Jul 29, 2024 #5 Wana wako pumbu na ngai wanasubiri sizoni ya kukimbiliwa na KE 7 aliyosema Bi.Safaricom.