Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

Ktk familia yetu, watoto 3 wanaandikia kushoto,

Kunae huyu kaka niliyemfuata, yeye had mguu anatumia wa kushoto, na anacheza ⚽ sana, huwa najiuliza alikua anawezaje kuandika madesa, hasa Advance alisoma PCB, nikiwaza zile notes na namba namba mbna nachoka sana,

Ila wabarikiwe mno, kutumia mambo ktk upande wa kushoto ni kipaji. Lol
 
Nashukuru asante
 
Kigugumizi ni ulemavu, kwann alikua anawatesa hivyo?

Mtoto wa dada ana kigugumizi kile haswaa, yaan hatari, hadi huwa tunamuonea huruma akiwa anapata shida ktk kuongea, tumejaribu kumlisha mayai mabichi lakini wapii, jaribu za mitishamba lakini wapii, bas tumeacha abaki hivyo.
 
Nikuulize wewe mkuu, labda kaka yetu Dennis Roberts anaweza kua anajua lolote kwanini upande mmoja(kulia/kushoto) unakua na nguvu zaidi ya mwingine.
Huyu jamaa hajawah kunikubali anasema mimi nina mnafikia et πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kaka Robert ana mpango wa kuchimba mafuta kule chanika
 
Kipaji kipo,mwangalie tu mtoto katika makuzi yake,hasa kuanzia miaka 3, utaona kile apendacho kufanya mara nyingi sana,hicho ndo kipaji chake,lkn yahitajika mtaalamu hasa wa saikolojia kukiibua na kuonekana kwa watu wengine wasiowataalamu,hiki anazaliwa akiwa nacho..we ukisikia neno kipaji unafikiria nini kwani!!?,, Anayekubali kwamba kipo anaathirikaje? Na aliyeanzisha neno hilo ananufaikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…