Huu msemo utakuja kuwa trending subiri ufike kule instagram(IG)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Natabiri kwamba huu msemo utakuja kuwa trending sana baada ya msemo wa Muroto kule dodoma wa Mtapata Tabu sana.

Msemo wenyewe ni huu.

Fyekaaaaaa fyekaaaa fyekelea mbaliiiii.

[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nanukuu "Tukute imekamilika,haijakamilika tukikuta mkurugenzi mtendaji Fyekaaa,DMO fyekaaaa au Afisa Elimu Fyekeleaaaa mbaliii."

Watendaji wa jiwe wanatutoa stress.

[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Umekuja msemo mpyaaaa unaitwa "sukumiiiiiiiia ndani" by RC TaboraView attachment VID-20180930-WA0002.mp4
 
IMG-20180930-WA0002.jpg
 
Simba tumechoka....... Halafu mtu anatuletea ALFULELA ULELA, hekaya za Abunuasi..... Eti Kalimakenge alikataa Kwenda Shule ESOPO, Leo tumeshindwa kuwafunga Yanga omba omba.... OKWI Fyeka....Kagere Fyeka.....Kichuya fyekaaa HEAD COACH fyekeleaaa mbaaaliiiii
 
Natabiri kwamba huu msemo utakuja kuwa trending sana baada ya msemo wa Muroto kule dodoma wa Mtapata Tabu sana.

Msemo wenyewe ni huu.

Fyekaaaaaa fyekaaaa fyekelea mbaliiiii.

[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nanukuu "Tukute imekamilika,haijakamilika tukikuta mkurugenzi mtendaji Fyekaaa,DMO fyekaaaa au Afisa Elimu Fyekeleaaaa mbaliii."

Watendaji wa jiwe wanatutoa stress.

[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23].
Nikikuta bibi harusi sukuma ndani,bwana harusi sukuma ndani, na mchungajj aliyefungisha ndoa sukuma ndani, n.k[emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom