Huu msemo utakuja kuwa trending subiri ufike kule instagram(IG)

Huu msemo utakuja kuwa trending subiri ufike kule instagram(IG)

Natabiri kwamba huu msemo utakuja kuwa trending sana baada ya msemo wa Muroto kule dodoma wa Mtapata Tabu sana.

Msemo wenyewe ni huu.

Fyekaaaaaa fyekaaaa fyekelea mbaliiiii.

[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nanukuu "Tukute imekamilika,haijakamilika tukikuta mkurugenzi mtendaji Fyekaaa,DMO fyekaaaa au Afisa Elimu Fyekeleaaaa mbaliii."

Watendaji wa jiwe wanatutoa stress.

[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23].
Hv sasa kila kaz unayoifanya lazima matunda yaonekane, hivyo yabid uwe mbunifu ktk kuonesha matunda ya kaz zako
 
Back
Top Bottom