Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv sasa kila kaz unayoifanya lazima matunda yaonekane, hivyo yabid uwe mbunifu ktk kuonesha matunda ya kaz zakoNatabiri kwamba huu msemo utakuja kuwa trending sana baada ya msemo wa Muroto kule dodoma wa Mtapata Tabu sana.
Msemo wenyewe ni huu.
Fyekaaaaaa fyekaaaa fyekelea mbaliiiii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nanukuu "Tukute imekamilika,haijakamilika tukikuta mkurugenzi mtendaji Fyekaaa,DMO fyekaaaa au Afisa Elimu Fyekeleaaaa mbaliii."
Watendaji wa jiwe wanatutoa stress.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23].