Ni balaaNoma sana mkuu
Umekuja msemo mpyaaaa unaitwa "sukumiiiiiiiia ndani" by RC TaboraView attachment VID-20180930-WA0002.mp4Natabiri kwamba huu msemo utakuja kuwa trending sana baada ya msemo wa Muroto kule dodoma wa Mtapata Tabu sana.
Msemo wenyewe ni huu.
Fyekaaaaaa fyekaaaa fyekelea mbaliiiii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nanukuu "Tukute imekamilika,haijakamilika tukikuta mkurugenzi mtendaji Fyekaaa,DMO fyekaaaa au Afisa Elimu Fyekeleaaaa mbaliii."
Watendaji wa jiwe wanatutoa stress.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23].
Maana usingelala mwaka mzimaAaah mkuu yule mtu mkubwa siwezi kushindana nane
Nikikuta bibi harusi sukuma ndani,bwana harusi sukuma ndani, na mchungajj aliyefungisha ndoa sukuma ndani, n.k[emoji4] [emoji4]Natabiri kwamba huu msemo utakuja kuwa trending sana baada ya msemo wa Muroto kule dodoma wa Mtapata Tabu sana.